CRDB Bank: What a terrible experience!


Ndugu huu wizi wa kwenye ATM usikie kwa mwingine nilishakwapuliwa pesa zangu kama laki 8 na mtu akiwa Msumbiji na wala sijawahi fika huko zaidi ya Kujua Samora "Masheli" alikuwa raisi wa huko ila walinirudishia pesa baada ya miezi 6...cha ajabu napiga simu huduma kwa wateja wazuie hizo pesa zisiendelee kutoka kwa kuwa nilikuwa napata ujumbe kwenye simu juu ya miamala inayofanyika bila ruhusa yangu tena nikiwa nyumbani saa 6 usiku.Kesho yake natia timu kwenye tawi nakuta hawakufanya hivyo.Hii bank ni shida
 
sometymz inategemea na branch unayooenda kwa huduma kuna kipindi nilipata tatizo la atm card yangu nilizungushwa hko akizikiwe na mikocheni mpk kuna siku nilikua na mtu naenda kuonana nae pale mtaa ya nyarugombe nikaona tawi la crdb nikapna nijaribu hpa yani witin seconds atm card yangu inafanya kazi na wala sikulipishwa hela kma hzo branch nyingine so i decided hyo ndo itakua branch yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…