ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Bank ya pili katika utengenezaji faida nchini imeamua kurejea Riba yao ya awali wanayotoa mikopo Kwa baadhi ya watu, kutoka asilimia 13% iliyopunguzwa muda si mrefu Hadi asilimia 16%.
Hayo yamenitokea baada ya kujaribu kutafuta Mkopo katika bank hiyo, huku wakiniambia mwezi huu tarehe 15 ndo itakuwa mwisho wa mkop wa Riba ya asilimia 13.
Tulitegemea bank kupunguza Riba zaidi na si kuendelea kuongeza kwani hii itafanya Hali ya uchumi kuwa ngumu zaidi.