ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Wafanyeje mkuu mfano watumishi wa umma.Epukana na riba za benki huwezu kutoboa kifedha na hiza riba
Hakika, na benki zetu hazikopeshi kwa ajili kukusaidia tu bali wanafanya ni biashara kama biashara zingine tu za kutafuta faidaEpukana na riba za benki huwezi kutoboa kifedha na hiza riba
Jiwe Mwamba Magufuli si hayupo?Bank ya pili katika utengenezaji faida nchini imeamua kurejea Riba yao ya awali wanayotoa mikopo Kwa baadhi ya watu, kutoka asilimia 13% iliyopunguzwa muda si mrefu Hadi asilimia 16%.
Hayo yamenitokea baada ya kujaribu kutafuta Mkopo katika bank hiyo, huku wakiniambia mwezi huu tarehe 15 ndo itakuwa mwisho wa mkop wa Riba ya asilimia 13.
Tulitegemea bank kupunguza Riba zaidi na si kuendelea kuongeza kwani hii itafanya Hali ya uchumi kuwa ngumu zaidi.
Hizo zilikuja baada ya not kupunguza riba, haikuwa siasa.13 zilikuwa ni siasa za kijnga hizo 16 ndo watasaviivu
Bank ya pili katika utengenezaji faida nchini imeamua kurejea Riba yao ya awali wanayotoa mikopo Kwa baadhi ya watu, kutoka asilimia 13% iliyopunguzwa muda si mrefu Hadi asilimia 16%.
Hayo yamenitokea baada ya kujaribu kutafuta Mkopo katika bank hiyo, huku wakiniambia mwezi huu tarehe 15 ndo itakuwa mwisho wa mkop wa Riba ya asilimia 13.
Tulitegemea bank kupunguza Riba zaidi na si kuendelea kuongeza kwani hii itafanya Hali ya uchumi kuwa ngumu zaidi.
NakaziaHakika, na benki zetu hazikopeshi kwa ajili kukusaidia tu bali wanafanya ni biashara kama biashara zingine tu za kutafuta faida
Ndiyo Ukweli WenyeweHaya mambo shida yanapelekwa kisiasa...
Nchi kama Bongo biashara ni kama ku-bet percentage ya watu wanao-default ni lukuki kila siku watunga sera wanakuja na yao (hakuna predicatability) unategemea Banks zikupe riba ndogo si mwisho wa siku na zenyewe zitakuwa ombaomba kwa kufunga biashara ?
Tatizo ni watu hawakopesheki..., Risk ya ku-default ni kubwa...
Chama DollarAiseeee !!