CRDB bank yapata faida ya billion 236 mwaka 2020

Licha ya changamoto za corona zilizojitokeza, Benki ya CRDB imetangaza faida kabla ya kodi kiasi cha Sh236 bilioni mwaka 2020,bado wafanyakazi wake wanalia njaa na mishahara haijaongezwa miaka minne iliyopita.
 
Licha ya changamoto za corona zilizojitokeza, Benki ya CRDB imetangaza faida kabla ya kodi kiasi cha Sh236 bilioni mwaka 2020,bado wafanyakazi wake wanalia njaa na mishahara haijaongezwa miaka minne iliyopita.

Je wametangaza dividends kwa wanahisa?
 
Asilimia 17 sio 15
 
Kutokana na mgao wa kodi kuongezeka shareholder tutagaiwa hela mwakani😂😂😂

Mpango, were ndio architect wa sera za uchumi wa nchi toka enzi za Jiwe; tuambie sasa inakuwaje nchi imeingia uchumi wa kati lakini hisa za kampuni zilizokuwa listed kwenye Dar es Salaam stock exchange haziuziki? Everything has tanked!
 

Nsekela naye anatuletea story kama za ATCL kuingiza faida na kugawa GAWIO.
 
Sasa kama mabenki yamepata faida na kwa mujibu wako kwamba biashara ilikuwa nzuri,sasa mama samia huo mdororo wa uchumi kutoka 6 mpaka 4 kautoa wapi?
 
Duh pesa zetu hizi
 
Inawezekana siku za nyuma walikuwa wanatupa riport feki.

Kwa sisi wanahisa wa CRDB, Nimeshangaa kuona tangu mwaka jana tunapata Gawio kubwa kuliko miaka yote ya nyuma.


Mtu akiwa na hisa zenye thamani ya milioni 20
Anapata gawio kiasi gani?
 
Mtu akiwa na hisa zenye thamani ya milioni 20
Anapata gawio kiasi gani?
Gawio la kila mwaka hutegemea na idadi ya Hisa zako pamoja na kiasi cha faida iliyopata Benk.

Mfano huko nyuma Hisa moja iliuzwa kwa sh. 300. Sijui kwa sasa itauzwa kwa sh. ngapi maana kwa sasa zimepanda thamani.

Mfano Gawio la mwaka huu ni shilingi 22 kwa kila Hisa hivyo utazidisha na idadi ya Hisa zako pengine unaweza kuingiziwa kwenye Ac yako Sh. milioni moja na nusu (Mimi nilinunua Hisa miaka kumi iliyopita hivyo kila mwaka napata gawio).
Faida ya Benk inapokuwa kubwa na gawio nalo linakuwa kubwa.
 
Naona matokeo ya kutotuma statement za wateja
Makato juu kwa juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…