kweli wamefanya vizuri,ila nataka nichangie hoja moja muhimu,hivi Watz wote wanakaa ktk miji mikuu ya mikoa tu? Angalia kwa mfano mkoa wa Iringa,crdb wako mjini Iringa tu. Kutoka Ludewa(wilaya) mpaka Iringa mjini Mkoani) ni kilomita 300 na ushee,wakati kuna miji mikubwa miwili hapo ktkt (Njombe,Makambako,Mafinga) ambako wangeweka huduma zao zingepunguza gharama kwa wazazi wetu waishio vijijini.
Kama haiwezekani kusogeza kwa wakulima wilayani/au miji mingine basi badilisheni jina. Jina lenu lina neno Rural Development,sasa hii rural yenu ni ipi jamani?