CRDB Fahari Huduma na TPB Popote

Bitabo

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2011
Posts
1,900
Reaction score
688
Wanajamvi wasalaam.
Nimeona mabango ya hizi huduma yaani CRDB FAHARI HUDUMA na TANZANIA POSTAL BANK (TPB) POPOTE. Ningependa kujua ukitaka kuwa mtoa huduma (wakala) unafata process zipi na operation yake ikoje na kuhusu mtaji uwe wa kiasi gani na faida iko kwa percentage ngapi na inapatikana vipi.
Naomba wale wenye uzoefu au ambao wanafanya biashara hii wanipe ujuzi ili nijue kama naweza fanya. Na kama kuna bank nyingine ina huduma kama hizi basi naomba kujulishwa.
 
hivi hizi habari za NBC kufilisika ni za kweli?
 

Wakuu tafadhari tunaomba mwenye uelewa wa haya mambo atujuze basi
 

amana bank
equity bank
 
ina maana hujui crdb ilipo? acha uzembe......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…