Diana Spencer
JF-Expert Member
- Nov 14, 2018
- 3,609
- 5,144
Labda ndicho kilichopelekea ikawa inakidhi matakwa ya wateja wakati kulipokuwa na mfumo huo???umejiuliza kuhusu hilo?Kimei kutengeneza ukabila crdb hana legacy ya kumkumbuka.
Crdb caribu heads wote wa idara, sections and branches utakuta ni ndugu zake/wakaskazini wenzake.
A country with over 50m people kupendelea watu wa kanda yako pekee ni ujinga ambao hauna mfano.
Mkuu equity Wana VISACARD?Equity wanasumbua kupokea hela toka lini!?
Mimi nina mwaka wa 3 napokea kupitia equity sijawahi pata tatizo lolote!
Wanayo VISACARD
Yani amini usiamini hiyo ni kwa sababu Bank kama bank ambayo inajitambua hawawezi weka tangazo la kijinga hivyo, eti "Ndugu mteja mashine hizi ni mpya na zinatumia teknolojia mpya, hivyo fanya haraka haraka transactions/mihamala yako kwani ukichelewa kadi yako itamezwa", hivi kweli kadi imezwe kwa sababu nimechelewa ku respond on time !!! Kwanini wasitumie timeout na wani log out.Nimecheka eti amini usiamini [emoji3][emoji3][emoji3] majamaa ni real definition ya local! Very local na huduma zao za wizi wizi, mteja amepoteza ATM card eti anatakiwa kulipia kurenew! How?
Mkuu mimi binafsi nakushauri hamia EQUITY Bank, hawa jamaa ni noma sana, hawana magumashi kabisa, ATM card unaondoka nayo siku hiyo hiyo, online transactions wako poa sana. Kuna ile inaitwa BOA, hatari sana hiyo kitu.Kwahiyo wakuu, bank ipi ni the best ?
Nataka kutick hapa bank moja ikirudiwa mara 5 na kuendelea nahamisha " kabilioni kangu fastaa[emoji16]
Kwahiyo wakuu, bank ipi ni the best ?
Nataka kutick hapa bank moja ikirudiwa mara 5 na kuendelea nahamisha " kabilioni kangu fastaa[emoji16]
You are very wrong my friend. Issue ya kufungua tawi Chato ni Magufuli alitaka, na Kimei alizungumza akasema, wakiweka tawi pale Chato halitalipa, lakini ikabidi iwe hivyo kwa sababu ya mzee.You can call them "think tank" ya JK or whatever; the three were the facilitators of Kikwete's looting of the country!!! JIWE amefanya busara sana kuwatimua bila kuwapeleka Lupango kama alivyomfanyia Kitilya!!! Kuna tetesi kuwa tawi la CRDB Kimei alilojenga CHATTO kujipendekeza kwa Jiwe limefungwa kwani hakuna biashara!!!
You are very wrong my friend. Issue ya kufungua tawi Chato ni Magufuli alitaka, na Kimei alizungumza akasema, wakiweka tawi pale Chato halitalipa, lakini ikabidi iwe hivyo kwa sababu ya mzee.
Check your facts.
BOA, Bank of Africa? Nao wako fit eeehMkuu mimi binafsi nakushauri hamia EQUITY Bank, hawa jamaa ni noma sana, hawana magumashi kabisa, ATM card unaondoka nayo siku hiyo hiyo, online transactions wako poa sana. Kuna ile inaitwa BOA, hatari sana hiyo kitu.
Nishawishi basi na wewee[emoji39]Finca.
Unaweza kuajiri na kigezo kimojawapo kikawa ukabila, na ukaweza kupata watu competent tu, na unaweza kuajiri bila kuweka kabila Kama kigezo, na bado ukapata watu incompetent. Issue ni process ya ajira katika scenarios mbili hizi. Ya kwanza inaweza kuwa ilikuwa nzuri pamoja na kuweka ukabila, ya pili ilikuwa ya ovyo pamoja na kutokuweka ukabila.Labda ndicho kilichopelekea ikawa inakidhi matakwa ya wateja wakati kulipokuwa na mfumo huo???umejiuliza kuhusu hilo?
Let's say,kama kweli kulikuwa na mfumo huo haiyumkiniki labda sasa umeondolewa so wale waliowekwa kutoka kila sehemu ya Tanzania wameshindwa kufanya waliyokuwa wanayafanya hao uliowataja?ikiwa ni hivyo itahitimishwa kwamba hawakuwa wakiajiriwa kwa ukabila wao kilichokuwa kinawaweka pale ni elimu zao na utendaji wao,bado utakataa?
"Ya kwanza inaweza kuwa ilikuwa nzuri pamoja na kuweka ukabila,"Unaweza kuajiri na kigezo kimojawapo kikawa ukabila, na ukaweza kupata watu competent tu, na unaweza kuajiri bila kuweka kabila Kama kigezo, na bado ukapata watu incompetent. Issue ni process ya ajira katika scenarios mbili hizi. Ya kwanza inaweza kuwa ilikuwa nzuri pamoja na kuweka ukabila, ya pili ilikuwa ya ovyo pamoja na kutokuweka ukabila.
Kaweke hela kwenye international banks yoyote ya ulaya , ilikuwepo Barclays ila naona wamewapigia pande absa bank.Nishawishi basi na wewee[emoji39]
Hujaelewa. Unatakiwa uwe na process nzuri ya recruitment isiyo na ukabila. Ningeweka lakini badala ya pamoja"Ya kwanza inaweza kuwa ilikuwa nzuri pamoja na kuweka ukabila,"
Aiseeee....................π€π€π€,karne hii ya 21 bado tuna watu kama hawa.
Hao usijaribu mkuu, utajuta kwani wako kama jina lao.BOA, Bank of Africa? Nao wako fit eeeh