CRDB, fanyieni kazi tatizo la business transactions, nmeshindwa kupata huduma

Hujaelewa. Unatakiwa uwe na process nzuri ya recruitment isiyo na ukabila. Ningeweka lakini badala ya pamoja
"Unaweza kuajiri na kigezo kimojawapo kikawa ukabila, na ukaweza kupata watu competent tu"

Kigezo kiwe ukabila alafu upate watu competent ktk field hizi za IT.Hapo 100% lazima utafeli,IT ni passion cheti peke yake hakitoshi.

Lazima uwe na passion ya kile unachokifanya,kwani kitakufanya ukifuatilie ,field za IT zinabadilika badilika unatakiwa uwe mwepesi kwenda nayo sambamba.

Ila kama umeingia ktk field ya IT alafu hauna passion ,pili umeambiwa utafute cheti kisa kuna mabosi wa kabila lako,jua kabisa unaenda kuiua kampuni.
 
2008/2009 Mkuu wa Internet Banking & Online Purchase katika Branch aliniuliza, hivi dogo hivyo vitu unanunua online huwa vinafika kweli? Huko mtandaoni mnakonunua wanaaminika kweli??

2013 Nikalipia Motor Vehicle Registration fee(tax) kwa SimBanking, Hela ikakatwa ila TRA wakawa wanasema sisi utaratibu huo hatuufahamu tunataka ulipie mpesa. Nikarudi Benki kuomba wareverse hayo malipo, Mfanyakazi desk la Huduma kwa Wateja kwa branch hiyo akaniuliza "Sasa umelipiaje kwa SimBanking, kwani inawezekana?" Baadae kama baada ya siku 5 nikapigiwa na Meneja wa SimBanking Makao Makuu akasolve ishu (ni baada ya kuwatumia e-mail).

Yaani maswali wanayouliza wafanyakazi wanakuwa kama wao ndio wateja na mteja ndio mfanyakazi.
 
CRDB sasa imekuwa kama kitengo cha NMB kwani uongozi mpya umechukua Directors/Managers kwa kiasi kikubwa NMB (completely recycling). Idea/Model ya NMB ndio imepandikizwa CRDB yaani ubunifu ni zero kabisa (copy and paste).
Hili la "Recycled management" nalo ni tatizo kubwa sana Tanzania. Mtu anateuliwa kuwa CEO wa taasisi analeta team "mpya" hadi mhudumu kutoka kwenye taasisi aliyokuwa anahudumu hapo awali.
 
Look, other factors za kuajiri zinakuwa constant sema umeongeza na ukabila. Hapa hatunyambulishi hizo factors ni zipi kama ulivyoanza kuzungumzia passion. Mfano, una two candidates wote wako same qualified na unatakiwa kumuajiri mmoja tu. Ndipo unapoona watu wengine wanatumia ukabila, na kuja na hoja kuwa kwani hawa qualify? Mbona ni wazi?
 
Nimeongezea mimi au wewe ndio umeandika hivyo.
 
Ndugu mteja Wa Bank yetu ya CRDB Tupo hapa kukuhudumia shida yako ni nini 🏃🏃 ndukiii
 
Mi niko na stanbic wako vyema sana simply hizi international banks wako poa sana kuhusu online transaction, Wote hata absa wako good mfano stanbic huhitaji kujaza fomu kuiruhusu kadi ifanye purchases online
 
Look, other factors za kuajiri zinakuwa constant sema umeongeza na ukabila. Hapa hatunyambulishi hizo factors ni zipi kama ulivyoanza kuzungumzia passion. Mfano, una two candidates wote wako same qualified na unatakiwa kumuajiri mmoja tu. Ndipo unapoona watu wengine wanatumia ukabila, na kuja na hoja kuwa kwani hawa qualify? Mbona ni wazi?
Nimeongezea mimi au wewe ndio umeandika hivyo.
Naona hatuelewani. I rest my case.
 
Dah mme nikumbusha machungu yangu nilifanya purchased online baadae ela ikawa suspended kama laki 2 na nusu. Paypal wanasema wameirudisha kwenye local bank na walinitumia na e-mail kabisa ila sasa crdb nilifatilia hiyo ela mpaka nika amua kuisahau sijajua mpaka leo ila crdb waliniambia ndani ya masaa 36 ila yamekuwa ni miaka 2 sasa mpaka nika amua kunyenyua mikono.
 
Wadau online purchase ipi mnayozungumzia!? Mbona mimi na kaviza card kangu nalipa bidhaa aliexpress nk bila hata kujiunga?
 
Sijaongeza ukabila bali wewe ndio umeongeza hiyo factor au una maana nyingine.
 
Embu iondoe NMB hapo mimi natumia online purchase kupitia NMB
 
Sijaongeza ukabila bali wewe ndio umeongeza hiyo factor au una maana nyingine.
View attachment 1480960
Thread hii tangu mwanzo inazungumzia ukabila kama kigezo cha ajira hapo CRDB, kwa hiyo sijaongeza chochote ila wewe ukaongezea kwa kutoa mfano wa IT profession, kuwa kama huna passion ya kazi, huwezi ku deliver.

Nikajaribu kuelezea jinsi gani mtu anaweza kuajiri kigezo mojawapo kikiwa ukabila (ambacho hakitakuwa wazi) na bado akapata watu wazuri.

Katika situation hii, factors zingine zinakuwa constant, yaani watu wote wanakuwa qualified isipokuwa mmoja ni kabila X na mwingine sio kabila X .
 
Pole sana , mimi binafsi kuacha akaunti ya watumishi wa mahakama ambao tumelazimishwa kufungua NMB,
CRDB nilifungulia akaunti MBEYA, nimekaa kadi ime expire, nabadilishia Singida hapa, nikaja fomu , nikaambiwa watatuma sms, nimekaa miezi na miezi hakuna kitu, juzi nikaenda kwa branch meneja , akasema ooh picha na signature zangu hazionekani, wakanisainisha fomu na kuniambia kwa gharama zangu nizitume kwa EMS Mbeya, yaani 15000 nikafanya hivuo, mpka leo hakuna majibu.
JIWE alimuondoa kimea kwa kisasi lakini sasa hakuna kitu kabisa
 
Hakuondoka na Wachaga wake. Aliyepo sasa hivi yupo busy kuingiza watu wa kwao. Na mnajua hao wamebobea kwenye ukabila. God save CRDB!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…