CRDB, fanyieni kazi tatizo la business transactions, nmeshindwa kupata huduma

Hii ilinitokea hata mimi ...Nilimaliza taratibu zote za mkopo jamaa kuniwekea fedha wanajivuta hawakujua kuwa mimi ninaishi kama serikali lazima nikope yaani ni lazima niwe na mkopo ili kichwa kichaji ........ nikafatilia kama wiki 2 wanizingua nikajua jamaa anataka cha juu.......nikauchuna baada ya mwezi wakaingiza hiyo fedha .... nikamtumia sms afisa mikopo nikamwambia wengine kukopa ni kama hobby sio lazima tuwe na tatizo wakati huo naweza kujaza fomu ya mkopo leo fedha wekeni hata mwakani
ah ah
 
 
Ila CRDB imejaa Wachanga jamani dah..

NSSF nayo na kina Mudy na Aziza kama mgambo na kirungu.
 
Nmb wqnajitahidi. Last yr nimejaza fomu ya online purchase within 3 hrs nikafanya payment,hadi leo natirirka.
 
You are very wrong my friend. Issue ya kufungua tawi Chato ni Magufuli alitaka, na Kimei alizungumza akasema, wakiweka tawi pale Chato halitalipa, lakini ikabidi iwe hivyo kwa sababu ya mzee.

Kama Kimei alijua kuwa taw la CRDB lisingelipa pale Chato halafu akalifungua , as a seasoned banker he acted very unprofessionally na kwa kufanya hivyo ndio maana nikasema alifanya kwa kujipendekeza!! In that regard I am factual.
 
Unajua maana ya undue influence?
Kama Kimei alijua kuwa taw la CRDB lisingelipa pale Chato halafu akalifungua , as a seasoned banker he acted very unprofessionally na kwa kufanya hivyo ndio maana nikasema alifanya kwa kujipendekeza!! In that regard I am factual.
 
Mimi nilijua ni benki ya Wachagga toka mwanzo hata leo hii bado najua hivyo.
 
Unajua maana ya undue influence?

Why should there be undue influence to a privately owned bank? Au hujui kuwa CRDB sio mali ya serikali? The government shareholding in the bank is insignificant so as to yield to their influence.
 
Hujui maana ya undue influence nduo sababu umehisi limit yake inaishia kwny Taasisi za Serikal

Ungejua hilo pia ungejua kwann Sumaye alilazimishwa kujiuzulu ujumbe wa Bodi ya CRDB wakat sio Bank ya Serikal
Why should there be undue influence to a privately owned bank? Au hujui kuwa CRDB sio mali ya serikali?
 
Reactions: amu
Sumaye alilazimishwa kujiuzulu ujumbe wa Bodi ya CRDB wakat sio Bank ya Serikal

Alilazimika kujiondoa kwenye board ili kuepusha hayo mambo aliyofanya Magufuli ya kulazimisha unprofessional executives kufanya maamuzi ambayo hayakuwa na tija kwa benki!!! Remember you will only exert undue influence kwa executives ambao ni weak { wanaojipendekeza}.
 
Mimi nilijua ni benki ya Wachagga toka mwanzo hata leo hii bado najua hivyo.

Akiba Commercial Bank nayo utaiitaje? Ni hao hao kwa vile wamesoma na hawa wakina Massawe wana hela. They have a CABAL in the banking industry kama wakina NGOSHA walivyokuwa nayo yao kwenye sector ya madini!!! Kila mtu na kamuhogo kake.
 
ahahahahaaaa . . . . hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…