CRDB fungueni tawi Kilindi

CRDB fungueni tawi Kilindi

CK Allan

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2013
Posts
2,781
Reaction score
6,139
Mimi ni mteja wenu wa muda mrefu hata hivyo baada ya kuhamishiwa huku kilindi nimekuta nmb imepita bila kupingwa na ingawa wanajitahidi kutoa huduma "kama nmb nyingine" bado pengo lenu kama crdb lipo niwakaribishe kilindi na kwa hakika nitakuwa mteja wenu wa kwanza....nimeichoka nmb kilindi hususani ifikapo mwisho wa mwezi atm ni moja tu...ila hakuna namna maana ni benki pekee iliyopo....sasa kwa wateja wa crdb tunalazimika kwenda korogwe....naomba ombi langu likubaliwe.
 
Back
Top Bottom