Hata mimi nadhani bado crdb ni bank nzuri sana, mumy go online utaenjoy...nadhani hayo ni mapungufu madogo madogo ya kufanyia kazi (housekeeping)
Nbc is the best bank and if u wish to get the best an high quality product just inverst on it.
<br />Wallah CRDB wanatia hasira<br />
Niliomba kuunganisha na huduma ya online banking (nipo mkoa), majibu yalivyokuja wamenipa username na password zisizofanya kazi! nimeenda local branch hakuna wanalojua kuhusu hiyo huduma!mtu nayetakiwa kuwasiliana naye panapo shida ni Sarah Nzowa (Yupo dar), kichekesho ni kwamba branch nzima hakuna mtu mwenye simu yake ya kiganjani, na kwenye barua hakuna contact yoyote,...HATA S.L.P!
Hii bank huwa naambiwa ni one of the best and efficient banks in Tanganyika, in short ndo bank nzuri ya kwanza ya kizalendo kwa huduma tanganyika sasa kama hao staff wao wameanza kuleta marangi basi itaanguka muda si mrefu/ at least kupungukiwa wateja hasa wa mjini!
Msiseme mabank tu, mawizarani mmefika ? Taasisi zingine za serikali je including TRA ? Vp kuhusu mahospitalini nako mmeenda ? Kiujumla Tanzania hakuna sehemu yenye customer care nzuri zaidi ya bar, na ndio maana Watanzania tunapenda kushinda bar angalau kurelease stress !!
:crazy: