Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Wamekuwa wa hovyo sana siku hizi.Crdb wanaiba sana hawafai
Wanahama bank?Hiliamisha pesa zangu zote kwa mbinde
Hii bank inaenda kufilisika soon
Maana mafisadi ndio walikuwa wanaibeba hii bank
Kweli dalili za kufilisika ziko wazi!Hiliamisha pesa zangu zote kwa mbinde
Hii bank inaenda kufilisika soon
Maana mafisadi ndio walikuwa wanaibeba hii bank
Wana ofisi zao Forsyth County?Wewe si uende ofisin kwao udeal nao, kinachofanya ulie lie mitandaoni ni kitu gani?
Hili nalo linahitaji katiba?Bila katiba sahau
Nimeweza hivyo hivyo nilivyoweza.Kwanza umewezaje kuscreenshot kwenye ap ya simbanking????
Mimi siishii kulalamika tu. Tayari nimeshachukua hatua madhubuti.Uache kulalamika
Si unawabeza watanzania wanavyolalamika na kutaka mabadiliko?
Weka akaunti namba na salio ulilokuwa nalo kabla.Hivi hii benki imekuwaje siku hizi?
Huu sasa ni wizi na watu wana kila sababu ya kuamini mnawaibia pesa zao.
Jamaa wamekwangua hela yangu yote na wakabakisha Tsh.0.01.
View attachment 3484722
Acheni kucheza na hela za watu bana.
Rudisheni hela za wote mliowaibia.
Mnachofanya ni wizi wa wazi wazi kabisa na hamuwezi tena kusingizia sijui maboresho au ushuzi mwingine wowote ule.
Rudisheni haraka hela za watu la sivyo mnajitakia mabaya tu.
Mbwa nyie.
🖕
Utaenda kuwauliza wao. Siwezi kuweka mipango yangu JF.Mkuu wasiporudisha utafanyaje?
Ili iweje?Weka akaunti namba na salio ulilokuwa nalo kabla.