round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 345
- 1,145
Kwenye app ya simbanking kuna sehemu ya Taarifa ya akaunti, ukichagua taarifa fupi ya miamala 10 iiyopita, utaandikwa jumla ya makato ni shilingi 0.00
Ajabu ukithibitisha kuangalia miamala unakatwa shilingi 381 + vat shilingi 65.58, jumla ya shilingi 450,
Ninaumia sana siwezi kuangalia hata taarifa fupi ya miamala yangu maana makato tayari ni mengi. kila mwezi kuna makato ya account, kila mwaka kuna makato ya uendeshaji wa kadi ya atm, utoe pesa hata dirishani kuna makato, ukitoa pesa atm kuna makato, ongezea tozo ya VAT 18% kwenye makato , n.k. haijakaa sawa nikatwe hata ninapotaka kufuatilia tarifa fupi.
MAKATO BAADA YA KUANGALIA
NYONGEZA
Kwenye Taarifa ya Historia ya miamala 20 nako wanaandika ni bure, sijajaribu nisije nikapigwa na kitu kizito