CRDB imewavalisha nguo na Kofia za CCM Viongozi wa kimila (Machifu), jijini Mbeya kwenye wiki ya huduma kwa wateja

CRDB imewavalisha nguo na Kofia za CCM Viongozi wa kimila (Machifu), jijini Mbeya kwenye wiki ya huduma kwa wateja

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Viongozi wa kimila (Machifu), jijini Mbeya, wameiomba Serikali kuweka program ya elimu ya fedha kuwa endelevu ili kuwawezesha wananchi wengi zaidi kupata uelewa na kutatua changamoto mbalimbali za masuala ya kifedha.

Wametoa wito huo walipotembelea Maadhimisho ya Nne ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa kwa mwaka 2024 yanayoendelea katika Viwanja vya Ruanda-Nzovwe Jijini Mbeya, yaliyobeba kauli mbiu ya “Elimu ya Fedha, Msingi wa Maendeleo ya Kiuchumi”.

=====

MY TAKE

Hawa wafanyabiashara watuache wanasiasa tupambane kisiasa. Wasimpendelee mtu wala kumuonea mtu.

Ni aibu CRDB kupendelea CCM wakati CCM wenyewe account zao zote zipo NMB.

CRDB wajiweke kando na siasa Uchwala. Siasa za maji taka na kupumbaza watu kuelekea Uchaguzi Mkuu.

Wenye kutegemea huduma za CRDB si CCM tu

20241023_170051.jpg
20241023_170044.jpg
20241023_170058.jpg
 
Back
Top Bottom