CRDB jamani foleni haziishi

Sista

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2013
Posts
3,208
Reaction score
1,033
sio siri sijui wateja tumezidi kuwa wengi sana. kuna foleni ndefu ajabu. matawi matatu niliyotembelea kila nikichungulia nahisi nitakaa masaa ma3. nimeamua kuingia tawi mojawapo. hapa nipo kwa foleni kuna teller boxes 5 lakini 2 tu zina cashiers. hii ni biashara au ......
 
Ukishangaa ya CRDB utakuwa hujatembelea au kupita tu kwenye atm za NMB!
 
sasa tellers zingine mbona ziko tupu?
 
look for solutions! don't tell me u don't have one!
 
Ukishangaa ya CRDB utakuwa hujatembelea au kupita tu kwenye atm za NMB!

I wish ATM zingekuwa na uwezo wa kudeposit!!! sikuwa na ujanja zaidi ya kusimama kwenye foleni masaa kibao
 
crdb ile branch ya mcity ndiyo kabisa foleni haielezeki. Mimi naenda mikocheni, ni afadhali kwakweli. na sijawahi kukuta tellers wamejaa dirisha zote (kwa masaa niliyokuwa ndani ya benki)
 
Mbona kuna branch hazinaga watu kabisa. Nenda mbagala Ubungo achana na za city centre miguu inaweza kuingia tumboni bure esp Lumumba azikiwe mlimani ni balaa
 
Mi nataka kuhama huku sku nyingi tu, kwanza nimegundua wanaanza mchezo mmoja wa kukata service charges mara 2 kwa mwezi, sijui wanadhani siwaoni? kumbe mie naona kwa estatements zangu..pili niliwaomba kwa tabu kubwa wanitoe kwene simbanking lakini wanang'ng'ana tu ili waendelee kunikata hela hata kama sms haifiki na wala sihitaji..ngoja kadi yangu iki-expire tu wameumia...hovyo, hata rates zao za hovyo.
 
crdb ile branch ya mcity ndiyo kabisa foleni haielezeki. Mimi naenda mikocheni, ni afadhali kwakweli. na sijawahi kukuta tellers wamejaa dirisha zote (kwa masaa niliyokuwa ndani ya benki)



Mkuu
Nilikuwa Mlimani City leo foleni kama kawa
tena hii style ya kupewa namba na kuitwa
uende dirisha namba fulani basi ndiyo balaa

Nadhani Mgema akisifiwa sana Tembo analitia Maji huenda ndiyo hii ya Crdb.
 
crdb ile branch ya mcity ndiyo kabisa foleni haielezeki. Mimi naenda mikocheni, ni afadhali kwakweli. na sijawahi kukuta tellers wamejaa dirisha zote (kwa masaa niliyokuwa ndani ya benki)

mikocheni kuna branch mkuu? sio ATM. iko sehemu gani tujuze wageni wa jiji
 
Njoo Tegeta.Hakuna folen

duuu kama jina lako lilivyo ni challenge utoke mjini kwenda tegeta kudeposit tu hiyo foleni na daladala za tegeta zinavyojaza tena zipo kariakoo tu
 

pole mkuu hebu jaribu kujaza fomu wakuondoe
 
fafanua mkuu wengine kina kayumba
kwa maana nyingine usikariri kuwa huwezi kupata service nzuri kwingine zaidi ya hapo ulipo! angalia kilicho karibu, unafuu, upatikanaji wa huduma na muda!
 
ziko ATM nairobi kwa ATM hall unatia hella zako za noti lakini au chech yako na unadeposit.DAR sijui kwa kweli umechunguza kama hakuna kabisa sababu zimekuweko kenya hata town ndogo ndogo tu.


Connect with us:

ATM Services

Equity Bank has over 620 ATMs in the region. Equity Bank customers can use their cards to transact regionally in Kenya, Uganda, South Sudan, Rwanda and Tanzania.
Types of ATMs:

  1. Cash Out ATMs
These are cash withdrawal only ATMs without deposit capability.

  1. Envelope Deposit ATMs
These are ATMs that are capable of dispensing cash as well as accept cash deposited using the envelopes provided.

  1. Intelligent Deposit ATMs
These are ATMs that are capable of dispensing cash as well as deposit money instantly into your account.
Features of Equity Bank ATMs:

  1. Withdraw cash from your bank account or mobile phone account
  2. Buy airtime from Safaricom, Orange, YU or Airtel
  3. Transfer funds from one Equity Bank account to another
  4. Pay utility bills such as DSTV, Electricity, Water, Phone, HELB. Simply choose any of these buttons at the ATM, then proceed with the transaction.
  5. Cardless Transactions – This is where a customer wants to draw money through the ATM from their M-PESA, yuCash or Orange Money account. A customer needs to:
    • Generate a code from their mobile phone
    • Go an Equity Bank ATM and choose the button with the option you wish to draw the money with e.g. M-PESA / yuCash / Orange Money
    • Key in the code at the ATM
    • Wait for the ATM to process and dispense cash
 
Hopefully soon zitafika Dar pia na foleni zitaisha. Nina imani zitapunguza foleni na sijui utaingia ndani ya branch kufanya nini.
Kumbuka 15 years ago kulikuwa na ATM mbili tu Dar nzima!!
 

hamia Advans bank ni covinient kabsa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…