Imekuwa sasa ni kawaida kuwa kila anayetaka kuiibia serikali anatumia CRDB. Ushahidi: EPA pesa zilizo nyingi zilipitia CRDB. Haijatosha, Ezekiel Maige, Waziri wa Utalii anasema mkopo wa kununua nyumba ya mabilioni amepata CRDB. Hii benki!!!!, hii benki!!! Kichaka cha kuiibia serikali! mapito ya pesa za walala hoi!