CRDB lumumba branch ni majanga! Plz jitahidini!

PowerWithin

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2014
Posts
646
Reaction score
501
Wadau wa maisha ni pesa!

CRDB lumumba brach jijini dsm ni majanga! Wateja ni wengi sana kwenye branch kiasi kwamba huwezi kwenda na kudeposit pesa zako fasta then ukaendelea kuzisaka zingine! Lazima usubiri kwa muda mrefu sana! Hii sio njema hata kidogo! Jitahidini please walau kwa kufanya haya yafuatayo!

1. Hamisheni hizo huduma za mpesa, tigopesa kwa branches zingine hili mkaliacha lifanye huduma zingine

2. Hamisheni hizo huduma za brela kwa other branches but near brela, branches mnazo!

3. Hakikisheni tellers wote wapo sehemu ya kazi, i mean dirisha zote tellers wawepo, na wawe very fast!

4. Ongezeni madirisha ya kutoa huduma hizi ni chache kulinganisha na idadi ya customers!

5. Njia zingine mtakazoona zinafaa

Nawatakieni kila la kheri!

cc: Wadau wote wa crdb lumumba branch!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…