CRDB mnakwama wapi?

CRDB mnakwama wapi?

ngongoti2000

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2017
Posts
2,236
Reaction score
2,142
Ndani ya siku hizi mbili naona Sim banking ya CRDB haifanyi kazi na tangu jana usiku ATM zenu hazifanyi miamala hapa Dodoma na hamjatupa taarifa yeyote.

Tupeni mwongozo
 
CRDB ni benki kubwa ila haijitambui ina ulemavu wa uongozi au majukumu hawayajui.

Simbaking yao inasumbua sana na kuna muda haikupi notification kama kuna ongezeko la salio kwenye akaunti unaweza kulala njaa kumbe mshahara umetoka.
 
Ndani ya siku hizi mbili naona Sim banking ya CRDB haifanyi kazi na tangu jana usiku ATM zenu hazifanyi miamala hapa Dodoma na hamjatupa taarifa yeyote.

Tupeni mwongozo
Njoo Mbagala Dar es Salaam uone ATM zilizoishi na marais wanne mpaka zimeota mvi zinavyojikongoja, Mara zikuambie kadi yako hawezi kutumia kwenye ATM hiyo baadae inasahau ilichokuambia inatumika! Ukiingiza kadi toka nje upate upepo kidogo kisha rudi labda utakuta imezinduka toka usingizini si unajua uchovu wa kuwasubiri watu usiokuwa na ahadi nao. Kwa kawaida inamhudumia mtu mmoja kwa dakika 15 na unailipia huduma hiyo.
 
Back
Top Bottom