ngongoti2000
JF-Expert Member
- Nov 20, 2017
- 2,236
- 2,142
Njoo Mbagala Dar es Salaam uone ATM zilizoishi na marais wanne mpaka zimeota mvi zinavyojikongoja, Mara zikuambie kadi yako hawezi kutumia kwenye ATM hiyo baadae inasahau ilichokuambia inatumika! Ukiingiza kadi toka nje upate upepo kidogo kisha rudi labda utakuta imezinduka toka usingizini si unajua uchovu wa kuwasubiri watu usiokuwa na ahadi nao. Kwa kawaida inamhudumia mtu mmoja kwa dakika 15 na unailipia huduma hiyo.Ndani ya siku hizi mbili naona Sim banking ya CRDB haifanyi kazi na tangu jana usiku ATM zenu hazifanyi miamala hapa Dodoma na hamjatupa taarifa yeyote.
Tupeni mwongozo