Mwanafalsafamweusi
Member
- Jun 4, 2019
- 14
- 23
Bank ya CRDB tangu siku ya Ijumaa ya Tarehe 12 mmekua na ukiritimba wa kuzuia kutumia pesa zetu tulizo zihifadhi kwenu kwa kisingizio cha Network mbona wakati pesa tunaweka na kufungua account hamkusema network inasumbua Tangu Kimei Astaafu CRD bank memeshindwa kuturidhisha wateja zaidi ya kuwa kero tu na hii ni Kwa nchi yote.