Mwanafalsafamweusi
Member
- Jun 4, 2019
- 14
- 23
Ha ha sasa ni jambo la kujisifu hilo mkuu..Bora yangu sina hata akiba, nikipata zinapitiliza kwenye matumizi (konyagi)
Si unajua akili za Jumanne, asubuhi. hahahahahahHa ha sasa ni jambo la kujisifu hilo mkuu..
Exim hii hii walionyanganywa mpk furniture na madalali wa mahakama kule Arusha au kuna nyingine?Tumien exim bank, backlays,boa bank ndio Bank sasa hii sasa mnatumia hzo ndio tabu ila nakopesha pesa karibuni