Nimeomba card yangu iwezeshwe online purchase mwaka 2014 nikawezeshwa then nikaenda Bank kui-undo hiyo service,nikataka huduma tena ya kuwezeswa kard ikagoma nikajaribukuwaona na kupiga simu mara nyingi kupata ushauri haijawezekana.
nikapata wazo la kupata sub-reference card service,nakajarib kuiwezesha nyao imekuwa locked.Niko totaly confused.
Wadau shida hii ya kuwezesha kwa wazo langu wangefanya Bank wenyewe.Labda hizi njama......
Msaada jamani