Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
na ukitaka kujitoa je?
Leo nilikuwa naperuzi account yangu ya CRDB through internet banking na nikashtuka kidogo na fees zao. Nimekutana na kitu kama ifuatavyo:
Monthly maintenance fee ........Tshs. 1,000
Card fee June ........................Tshs. 4,000 (hii transaction ya tarehe 9 July)
Card fee June ........................Tshs. 4,000 (hii transaction ya tarehe 13 July)
Withholding Tax .....................Tshs. 63.39
Nilikuwa sijanotice hivi vitax kwa muda na nashangaa kama huu ni utaratibu mpya. Kama wanamfanyia kila mteja namna hii, basi wanatengeneza faida ya hatari sana
KUME tuko wengi na hili, nimekatwa na MIMI PIA, SAME CHARGES, YAANI CRDB NI JANGA I SEE, NASUBIRI TU MWEZII UJAO NAENDA KUFUNGA ACCOUNT, CRDB NI WEZI FULL STOP
Wakuu,
Ninachofahamu ni kuwa, ukiwa unatumia internet banking charges kwa mwezi ni Tshs. 1000. Na card (VisaCard) fee ni Tshs. 8000 kwa mwaka. Kinyume na hapo wanatakuwa wamekuibia au wameanzisha utaratibu mpya ambao ni ghali sana na itabidi kuwambia fasta kwa kweli.
KUME tuko wengi na hili, nimekatwa na MIMI PIA, SAME CHARGES, YAANI CRDB NI JANGA I SEE, NASUBIRI TU MWEZII UJAO NAENDA KUFUNGA ACCOUNT, CRDB NI WEZI FULL STOP
Leo nilikuwa naperuzi account yangu ya CRDB through internet banking na nikashtuka kidogo na fees zao. Nimekutana na kitu kama ifuatavyo:
Monthly maintenance fee ........Tshs. 1,000
Card fee June ........................Tshs. 4,000 (hii transaction ya tarehe 9 July)
Card fee June ........................Tshs. 4,000 (hii transaction ya tarehe 13 July)
Withholding Tax .....................Tshs. 63.39
Nilikuwa sijanotice hivi vitax kwa muda na nashangaa kama huu ni utaratibu mpya. Kama wanamfanyia kila mteja namna hii, basi wanatengeneza faida ya hatari sana
hakuna kilichokosewa hapo!
Hiyo buku kama alivyosema mdau hapo juu ni fee ya internet banking, mi nilishawahi kuwauliza wakaniambia hivyo.
Kama huu noi utaratibu mpya, basi tupo matatizoni. Ntajaribu kuwapigia simu niwasikilize.
Mimi nilitaka kwenda kumfungulia mwanangu JUNIOR ACCOUNT CRDB, mbona mmeanza kunitisha jamani? Nimfungulie bank gani tena?
Dada Kokutona kama uko DAR na hutegemei kuhama, kamfungulie mwanao akaunti DCB (Dar es Salaam Community Bank). Wana faida kubwa zaidi ni 6 % wakati CRDB ni 2.5 %.
Mkuu usijisumbue tu kuwapigia, hakuna kilichokosewa hapo!Hiyo 63.39 ni kodi ya TRA
Yaani TRA wanaingia mpaka huku tena?
Bahati mbaya niko Tanga mashauri na nilipo kuna access ya CRDB na NMB tu