Itabidi this time wamuogope Babu DC.....Na ikibidi tutawakemea kwa nguvu za yule mwenye uweza.....!!
Unadhani hata hiyo inashindwa??
Babu DC!!
Hapo lazima waisome namba.
Hakuna anayeweza kumshinda aliyejuu babu DC
Hapo sasa umemkuna Babu.....
Ubarikiwe sana CRDB wasijaribu tena kukuibia!!
Babu DC!!!
Kweli nimeshtuka, bora nirudi huku kwa makabwela NMB eti babu Dark City.
Ubarikiwe pia, najua bibi hawezi kuibiwa kirahisi hivyo. You love her right?
Kuliko ninavyoweza kueleza!!
Ila hawa watu wa banks usiwaamini kabisa...Hakuna cha NMB wala CRDB....wote ni wezi tu ila mtu analaumu wale waliomdondoshea kosovo!!
Babu DC!!
Bibi anafaidi sana.
Nimekuelewa babu kuhusu banks, sasa sijui itakuwaje mjukuu wako..
Mambo ya mabenki kwa Tanzania ni kama kucheza kamari...Unaweza kujaribu ila huwezi kuwa na uhakika kwamba hujaibiwa au hutaibiwa!!
Babu DC!!
Ni kama ku toss coin.
May be ni ku make sure unakuwa up to date na akiba yako at least kila mwezi.
As longer as you agree to take risk!!
Babu DC!!
nimewasikia hawa..naskia wana rates nzuri sana kwa fixed accounts, nimejiahidi kuwatatfuta na kuhamishia hela yangu yote huko. nimeudhika sana na CRDB, baada ya kufunga hesabu za mwaka nimeona kumbe faida yao ni 1.45%, hakyanani siezi vumilia hawa wapumbavu..kweli ni vizuri kutetea cha nyumbani lakini this is too much...liwalo na liwe.Kuna benki nyingi zinaibuka sasa hivi,na hizi benk giants crdb,nbc na nyinginezo inabidi zijiandae,kuna benki inaitwa first national bank fnb,ni ya wasauzi hawa nao wako safi jaribuni kuwatembelea
Kuna benki nyingi zinaibuka sasa hivi,na hizi benk giants crdb,nbc na nyinginezo inabidi zijiandae,kuna benki inaitwa first national bank fnb,ni ya wasauzi hawa nao wako safi jaribuni kuwatembelea
nimewasikia hawa..naskia wana rates nzuri sana kwa fixed accounts, nimejiahidi kuwatatfuta na kuhamishia hela yangu yote huko. nimeudhika sana na CRDB, baada ya kufunga hesabu za mwaka nimeona kumbe faida yao ni 1.45%, hakyanani siezi vumilia hawa wapumbavu..kweli ni vizuri kutetea cha nyumbani lakini this is too much...liwalo na liwe.
Mkuu Consultant nakushauri tu kabla ya kuhukumu ni vizuri ukawaona utawala wa benki mkoa au tawi lako ukawasikia, pengine ni watumishi wahuni wachache hasa jamaa wa IT wanatumia taaluma zao vibaya kuibia wateja.Leo nilikuwa naperuzi account yangu ya CRDB through internet banking na nikashtuka kidogo na fees zao. Nimekutana na kitu kama ifuatavyo:
Monthly maintenance fee ........Tshs. 1,000
Card fee June ........................Tshs. 4,000 (hii transaction ya tarehe 9 July)
Card fee June ........................Tshs. 4,000 (hii transaction ya tarehe 13 July)
Withholding Tax .....................Tshs. 63.39
Nilikuwa sijanotice hivi vitax kwa muda na nashangaa kama huu ni utaratibu mpya. Kama wanamfanyia kila mteja namna hii, basi wanatengeneza faida ya hatari sana
Leo nilikuwa naperuzi account yangu ya CRDB through internet banking na nikashtuka kidogo na fees zao. Nimekutana na kitu kama ifuatavyo:
Monthly maintenance fee ........Tshs. 1,000
Card fee June ........................Tshs. 4,000 (hii transaction ya tarehe 9 July)
Card fee June ........................Tshs. 4,000 (hii transaction ya tarehe 13 July)
Withholding Tax .....................Tshs. 63.39
Nilikuwa sijanotice hivi vitax kwa muda na nashangaa kama huu ni utaratibu mpya. Kama wanamfanyia kila mteja namna hii, basi wanatengeneza faida ya hatari sana
Wakuu,
Ninachofahamu ni kuwa, ukiwa unatumia internet banking charges kwa mwezi ni Tshs. 1000. Na card (VisaCard) fee ni Tshs. 8000 kwa mwaka. Kinyume na hapo watakuwa wamekuibia au wameanzisha utaratibu mpya ambao ni ghali sana na itabidi kuwakimbia fasta kwa kweli.