CRDB na undugu kwenye Ajira

Crdb ina board of directors na board ya benk aiendeshi kama banda la mama ntilie kamanda mponjori kimei ana mtoto crdb wakiume ni banker lakini yupo nbc.jf tusiwe wazushi let us be great thinker always
 
Vijana wengi wanaosoma colleges siku hizi wanajali starehe na show off,awasomi,matokeo yake awawezi ata kuandika barua au Cv ya kuombea kazi.akuna mwajiri anaetaka vyeti bila umakini kazini.kutokana na ushindani kwa sasa akuna benki inayoajiri kimeo eti ni mtoto wa bosi au anamjua mtu (uliza yaliomkuta viki kamata Benki kuu!) mtu umepata div 2 au 1 kwa pepa feki olevel na alevel,chuo unaishi kwa kucheat,unapata degree kiusanii,alafu unategemea kupata kazi nzuri. Haya ni maajabu yaliopo tu hapa tanzania na sio pengine katika dunia hii.
 

Thank you very much member ! you are right,, but most of us they don't believe so, lakini tutapata wachache na walio wajasiriamali watakao fuata huu ushauri na watafanikiwa na kushukuru,, may be less than 5%, Only an entrepreneurs are able to see opportunity but others see a lot of obstacles.

Winners sees the grains;​
losers see the pains;​
Winners see possibilities;​
Losers see problems​
Winner sees an answer for every problem;​
Loser sees a problem for every answer;​
Winner says “It may be difficult but it is possible”;​
loser says” It may be possible but it is too difficult ”​
Winners sees the grains;
losers see the pains;
Winners sees the grains;
losers see the pains
 

hapo ndipo uwezo wako wa kufikiri ndipo ulipoishia? Hizo ajira ambazo watu wanakosa kwa kushindwa kuandika barua ziko wapi?
 

hapo kwenye pepa feki sidhan kama umefanya utafiti, hakuna kilaza anayeweza kupata division 1 kwa kuiba pepa, haipo hiyo.
 

ni zaidi ya tambarare mkuu.
 

Ndugu some time haya mambo ajira ni bahati haijalishi aliefanya field kwenye ofisi husika ndie apate ajira pale km uliambiwa ndugu ulidanganywa kila nafasi ya ajira inayotangazwa hapa nchini wote tunakuwa na nafasi sawa ya kuajiriwa provided dat u have min qualification for dat post,alafu mi nategemea unaposikia mwenzio kapata ajira unapaswa kufurahi kwa sababu probability ya kupata ajira nyingine kwako inakuwa imeongezeka wote tukikaa mtaani nani ataajiriwa?
 
udsm pale full ukabila......mfano mzuri ni ucc kuanzia lectures,wafagiaji,technician,wahasibu wote ni wahaya....ukienda pale kuomba hata dili la kundisha short course wanaangalia unatokea kabila gani.......
 
pole sana ndugu nimesoma post yako vizuli sana.....ila usikate tamaa siku omba sana siku chadema wachukue nchii mambo yote haya yatakwisha
 
Kuna wengi tu waliofanya field ambao wamepata kazi! sasa kama wewe hujapata huenda ni matatizo yako binafsi...au walivyokupima hawakuridhika na wewe!

Pole jaribu tema wakati mwingine
 
Tatizo la watanzania bwana hatutaki kuukubali ukweli, dunia nzima hakuna sehemu kuna fairness hata iweje,

Kuna scandal ilitokea hata marekani mtoto wa master p lil romeo alipewa basketball scholarship univ of south california kisa baba yake anaheshimika wakati hata kiwango cha kucheza div 3 league hana,

Hata auditing firms mnazoziamini zipo fair kuna watu kibao magumashi , as mtoto wa partner hawezi kuwa sawa na kayumba, so kuhusu kuiponda crdb tunakosea inabidi tuponde kila sehemu kuanzia kwenu unapoishi as kuku akichinjwa nyama utayopewa wewe mtoto haiwezi kuwa sawa na ya housegal
 
Hata huduma zao ni ubabaishaji mtupu na sasa wameanza wizi wa kudokoa hela kwenye akaunti za wateja wao, wateja wa CRDB muwe macho na hela zenu mlizoweka kwenye akaunti zenu
 
Freedom and success in Tanzania is determined by personal efforts, achana na kungoja ajira za kihuni, you have been to school not only to be employed, you can start your business.
either u r so arrogant or ignorant. unafikiri kila mtz anayemaliza kusoma vyuoni ana mtaji?
 
jamani tukumbuke basi si tu nepotism lakini katika staffing kuna internal recruitment ambayo nako inabidi izingatiwe tusiwe watu wa kulalamika tu,
 

Ingawa umetumia maneno makali mno ambayo yanadhalilisha wasiohusika, ujumbe wako umeeleweka. Nadhani mtoa mada anatakiwa kujua ya kuwa zaidi ya 70% ya ajira huwa hazitangazwi kwa njia anazozijua yeye (mfano magazetini).
Pia kwa anayehitaji ajira asiendekeze lawama bali apeleke CVs na application letters kwa kamapuni nyingi kwa kadiri ya uwezo wake. Kama hujafikisha kampuni hamsini mpaka sasa, hauko serious.
Kuhusu CRDB, wapo ninaowajua ambao wameajiriwa bila undugu. Walipeleka CVs bila kuambiwa.
 

hapo una mwezi mmoja tu kazini,ka-subsistence na salary la kwanza la mwezi ushaanza kuwa na lugha za kukera namna hii?!kwamba kama mwenzio hakupata kazi wewe ukapata basi yeye ni mpumbavu na hana akili kama unavyomuelezea!!?je ukianza kutuibia na kujikopesha tu-deposit twetu kama wanavyofanya waliokutangulia hapo kwenu,si utakuwa unapita barabarani unatukana wote wasio na kazi wewe!!?hebu grow up na jifunze ku-argue kama 'mtu'!!ndio kwanza umeanza wewe!!
 
Acheni kuadaa watu kwa nadhalia watu wengi wamebuni mawazo tena mazuri lakini wameshindwa kujiajiri. Nadhani watu mlitakiwa kuja na data kuhusu walioanza biashara bila mtaji sambamba na historia zao. Nimewahi kuhudhuria mjadala wa ujasiriamali pale Paradase Hotel nilishangaa jamaa mmoja anajitamba kwamba hakuwa na kitu akiwa fresh from school lakini katika maelezo ni kagundua kumbe familia yake ilimpa msaada.

Kwanza kuangalia shule aliyosoma Shaban Robert, akaenda kusoma stashahada ya juu Kenya kwa kutumia fedha ya wazazi. Alienda uingereza kufanya utafiti wa masoko na familia ili mpa mil. 50 kkama mtaji.

Alafu wakati huo akawa anadai anawatia moyo wasio na kitu kuwa inawezekana. Je, mtu kama huyu anafaa kuwa role model kwa mhitimu ambaye baada ya kumaliza anabeba majukumu ya kusomesha wadogo zake huku wazazi wakiwa wanahitaji kuhudumiwa na kijana huyohuyo asiye na kitu.
 
Freedom and success in Tanzania is determined by personal efforts, achana na kungoja ajira za kihuni, you have been to school not only to be employed, you can start your business.

Wewe uttoh uko kwenye business? Au kwa wengine ndio principle zinawekewa mkazo.wana siasa walaaniwe!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…