CRDB na undugu kwenye Ajira


acha uwongo wewe, ulipoandika barua yako haukueka referee ambae at least ana undugu au kufahamiana na kimei? yupo dada mmoja amesoma diploma ya ualimu lkn kwa vile yeye ni mmarangu amepewa AJIRA crdb wakati hana sifa za kufanya kazi benk
 

Pia labda kwakuwa wameona utendaji kazi wa hao waliofanya field na wanaojitolea hauridhishi?
 
acha uwongo wewe, ulipoandika barua yako haukueka referee ambae at least ana undugu au kufahamiana na kimei? yupo dada mmoja amesoma diploma ya ualimu lkn kwa vile yeye ni mmarangu amepewa AJIRA crdb wakati hana sifa za kufanya kazi benk

Mimi kuna watu nawafahamu vizuri, wameajiriwa bila kufahamiana na mtu yeyote pale, lakini pia waliwahi kuja chuo wakitaka mwalimu awape majina ya vijana watatu wanaofanya vizuri ili wapewe ajira!
 

yawezekana hao jamaa interview yao ilishafanyika tokea wapo field kwenye hizo brunch mkuu, so haikua na sababu ya kuwarudisha manake huenda mwanzoni waliumiza sana kichwa namna ya kuwakatishia field yao, mtazamo tu eroo
 



...hii habari inanifanya niamini sasa maana hapa kigoma kuna mwanamke aliajiriwa na uwezo wake ni poor sana na ameishalalamikiwa na watu wengi anavyofanya kazi zake,inasemekana boss wake alikuwa anapona pale na ndo maana waliachwa watu wenye uwezo kumzidi akapewa yeye kazi,kama wewe uko kigoma na una account crdb utakuwa unamjua anajifanya mrokole kwa kuficha anachokifanya miezi iliyopita alikuwa kwenye crdb mobile ambayo iko kasulu...hii inanifanya niamini huyu dada hafai kufanya kazi hata kwenye ofisi ya mpesa,
 
Mtoa mada unaonekana hizi taarifa kama hujazitoa kijiweni basi una sababu binafsi na hii benki. Kwa taarifa tu pale hr wanapokea cv zaidi ya 700 kwa mwaka na mahitaji yao hayafiki idadi hiyo. Sasa kama wapo cost conscious sidhani kama kuna umuhimu wa kutangaza na badala yake wanachagua kati ya zile na kuwaita watu kwenye usaili.
Hiyo field attachment na branch manager ni uongo mtupu, field zinatolewa makao makuu tu kwa ruhusa ya mkurugenzi rasilimali watu, asa hizo ahadi mnazoahidiana na manager haziwezekani labda alikudanganya.
Nakushauri kwako na kwa ambaye yupo interested,nenda pale makao makuu(azikiwe street-jengo la azikiwe branch) ghorofa ya nne uiache cv yako, kama imekaa sawa watakuita japokuwa haitakuwa mapema. Wana jf tuache mambo ya kuzua, hayatusaidii.
 
Kaka yaelekea unazungumza pasipo kufanya tathmini ya kina.yawezaje utoe wazo la mtu kufanya biashara wakati hata pesa ya kupiga copy hana? hakuna anayependa kuajiliwa hata siku moja .Ajira za sasa ni utumwa angekuwa na pesa ya mtaji asingeweza tafuta pesa.msg yake yaonyesha kuwa yupo desparate anahitaji faraja so u beta b careful unapo toa advice na si vyema ukatoa commment ilimradi umeandika.
 
si 2 mabenk bt any wea undugu na kujuana mimi crdb nimepeleka sana bt mpaka nw hola, bt cshangai hata mimi nkipata kaz ntakua naajir ndugu na naowajua.
 










MINAONA TUNGE JADILI MADA KAMA ILIVYOLETWA NA MUANZISHAJI BADALA YA KULETA POROJO HIZI NYINGINE.


Hayo maneno tu Lakini hayana utekelezaji.

Kama Hauna Kitu BASI HUWEZI UKAPATA MSAADA WA KITU.

TUKUMBUKE KUWA :

haya maisha tu tusichekane ila tuombeane baraka kutoka kwa mungu baba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…