Semilong
JF-Expert Member
- Mar 5, 2009
- 1,711
- 220
Kama umetumia visa card yako kufanya malipo ya bidhaa kwenye maduka siku za karibuni basi utaona risit unayopata ina nembo ya Equity Bank (9 out of 10 shops).
Katika kudadisi nika find out our two largest retail banks; NMB hawajawahi kuwa na machine za kulipia na card while Crdb machine zao zinaharibika ovyo na ni wasumbufu kupata kwa hiyo most of the business wana prefer Equity. Business ikitumia machine ya Equity means ina bank na equity.
Wakati umefika wa hizi local banks kuamka usingizini they are losing sme