Jamani huo ni ukabila. Binafsi siungi mkono kauli yako.local banks ni machaka ya wachaga kuiba hela, hamna jengine lolote huko...ubunifu zero
niliweka elf 6o crdb nilibak na butwaa kuona ndan ya siku 14 imebak elfu 3o
sipend kwenda tena kwenye hii bank
Mkuu usijali, NMB, mwezi unaokuja wanazindua huduma au kadi ya visa card, na visa kadi hiyo itakuwa ya ukweli ile mbaya, so utaweza kufanya manunuzi yako yote, kuwa mpole kidogo, nmb wanakuja kivingine. Kwa sasa NMB, inamapinduzi ya technologia, imeanzisha huduma ya E-statement, NMB wakala, CHAP CHAP Account, NMB Mobile, n.k
chaka la wachaga hilo, huduma mbovu, mifumo mibovu, ajira kwa ukabila, ubunifu sifuri, kila mfanyakazi anawaza kuiba tu....pumbaaaav
posta bank, utt, equitybenk gani nzuri sasa?
benk gani nzuri sasa?
benk gani nzuri sasa?
International banks
Duuu!Turudi kwenye Meridian Biao tena ? Au FBME?
unawashwa na wachaga?chaka la wachaga hilo, huduma mbovu, mifumo mibovu, ajira kwa ukabila, ubunifu sifuri, kila mfanyakazi anawaza kuiba tu....pumbaaaav