Hute
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,537
- 6,472
wajameni, naomba kama kuna mfanyakazi wa CRDB AU NMB atusaidie humu, mbona nimejaribu kutumia ile huduma yao ya mpesa, yaani kama nina pesa zangu kwenye mpesa naweza kuzirisha tu kwenda CRDB au NMB, pia kama nina pesa zangu CRDB au NMB naweza kuzirusha kwenda mpesa nikiwa nasubiria hapohapo dukani kwa mangi halafu nikachukua hela ileile kama mpesa...lakini, MBONA GARAMA YAO INAKUWA KUBWA IVI? au mimi nimeibiwa?...because, yesterday, nilifika kimara nikaona sina pesa kuweka wese, nikajirushia vijisenti kadhaa toka CRDB kwenda mpesa yangu, nikashuka na kuchukua hela kwenye mpesa,...lakini nilipokuja kucheck balack nimeona WAMEKATA GARAMA ZA HUDUMA HIYO KAMA SH. 10,000/= namaanisha elfu kumi.....is this worthy na ndivyo wenzangu mnakatwa hivihivi au ni kwangu tu? the same happened to me several times with NMB.....kwa anayeeleza tarrifs zao please tujulishe ili tukitaka kutumia huduma hiyo tujipange kusuka au kunyoa kabla...thanks.