Lole Gwakisa
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 4,768
- 2,361
Inasikitisha kwamba forum hii ya great thinkers tunazungumzia jambo la uzushi kwa benki ambayo ndio imebeba uchumi wa Tanzania.
Je tunayo elimu ya kutosha kuhusu masoko ya hisa na utendaji wake au tunakurupuka tu? Kwa nini tusiombe wataalamu wakatusaidia?
Hii ni forum nzuri ya kuzungumzia maendeleo ya uchumi wa nchi yetu lakini sio uzushi tujikosoe wenyewe tubadilike.
Mungu Ibariki Tanzania! Mungu ibariki benki yetu ya CRDB

Ndahani, je umeziona published financials accounts za mpaka september za sikio la kufa(CRDB Bank)? wanatisha kweli kweli. Wanaongoza kwa kila kitu. jamani mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Tusiwe makuwadi tu-argue kwa facts sio kwa majungu na uzushi.
Mkuu unachosema ni sawa, lakini usipuuze tetesi kama hizi. Mara nyingi insiders ndio wanapata info kabla hata hazijawafikia hao DSE!!
Nafikiri unakumbuka kuanguka kwa Lehman brothers, Enron and WorldCom!! Haya mambo huwa yanatokea, by the time Regulators wanastuka its too late!!
Unazungumzia kufloat, unajua balance ya demand na supply ikoje? Wakifloat zitauzwaje? Bei itakuwaje? Issue si kufloat tuCRDB can float the same shares through IPO if these investors go! let them go. there was a massive over subscription during the last offer. it is nt a big deal.
Well said! Hakuna chembe ya siasa ila umeongea kitaalam maana watu wanachanganya na siasa.Asia ktk zama hizi za creative accounting I'm not surprised to see those figures published! Naamini unajua maana ya kutrade shares kwenye masoko ya hisa, numbers matters alot no matter if they are real or not!!
Kuhusu share za CRDB kuwa oversubscribed during its IPO, si kigezo cha kuuzika kwa share zao tena given the market trend. Niamini mimi, Kama hao jamaa wakichomoa, lazima share za CRDB zitashuka!! Siiombei mabaya CRDB, I'm one of the shareholders there, yet I have to remain cautious!!
The challenge ahead of us is to build a strong CMSA & DSE!!
Tusubiri tuone
Mimi ni mteja wa CRDB na sasa kuna makato wameanzisha wanaita Card fee kila mwezi wanakata elfu 3 kwa kweli it is a lot kwa sisi walala hoi. nadhani kuna kituwanafidia kwani kwa wateja waliopo how much they earn