Imerahisisha mambo Sana, tujaribu kujiunga kwa wenzangu ambao nanyi mpo kwenye taasisi hiyo(wateja wenzangu).
dial *150*03# ufanye mhamala wowote popote ulipo.
Tujumuike pamoja kulijenga taifa.
wanakata hela nyingi sana kwenye account...halafu bado hawaja reconcile na LUKU ukinunua luku wanakata hela hupati message.... otherwise imerehisisha kwa sababu ukiwa bank ukiona foleni unahamisha tu pesa unaweka kwenye tigo pesa au mpesa unaenda chukua safi sana!!