CRDB thamani fixed deposit AU Hisa za makampuni ya simu

Mikeyy

Senior Member
Joined
Jul 8, 2015
Posts
106
Reaction score
35
Wadau mimi ni mfanyakazi, nimejitahidi ndani ya miezi 6 kazini kuweka akiba ya sh 1,000,000/= sasa nimepanga mwaka ujao niwekeze hicho kiasi kwa kuanzia kwenye soko la fedha.

Nimeona matangazo ya kuwa makampuni ya simu yatauza hisa January 2016 na pia nimesikia CRDB wana fixed deposit ambayo inakupa 13% kwa mwaka au kwa mwezi(sina uhakika) sasa nimevutiwa na option zote 2.

Naombeni ushauri niwekeze wapi?
 
Hiyo 13% inaanzia 100m
 
nimeipenda hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…