frakitosho
JF-Expert Member
- Dec 13, 2012
- 802
- 256
Wanajamvi ni hivi, akaunti ya CRDB iba fedha za kutosha ila kwenye simu yangu nimeishiwa airtime na niko kwenye traffic jam.
Naingia kwenye menu ya CRDB mobile ili ninunue airtime najibiwa "huna salio (airtime) ya kutosha kununua "airtime"! Sasa upuuzi wao ni huu, unatakiwa kuwa na balance (airtime) ili uweze kununua airtime.
Tafadhali CRDB nawaheshimu sana rekebisheni kasoro hii muwe kama NMB ambao hata kama simu haina salio bado unaweza kununua airtime. Makato ni kwenye balance ya bank