frakitosho
JF-Expert Member
- Dec 13, 2012
- 802
- 256
Wanajamvi ni hivi, akaunti ya crdb iba fedha za kutosha ila kwenye simu yangu nimeishiwa airtime na niko kwenye traffic jam. Naingia kwenye menu ya crdb mobile ili ninunue airtime najibiwa "huna salio (airtime) ya kutosha kununua "airtime"! Sasa upuuzi wao ni huu, unatakiwa kuwa na balance (airtime) ili uweze kununua airtime. Tafadhali crdb nawaheshimu sana rekebisheni kasoro hii muwe kama Nmb ambao hata kama simu haina salio bado unaweza kununua airtime. Makato ni kwenye balance ya bank
hapo kwenye Jam hakuna wauza voucher?
Tigo na Vodacom wanakopesha utarudisha ukiongeza airtime.
tatizo lako unatumia Airtel na CRDB badala ya Voda/Tigo na NMB.
Ndio yale ya tra kulipisha watu kodi ya mapato wakati wanaanza biashara. Utalipaje kodi ya mapato kabla hujapata? Bora ingeitwa kodi ya mtaji.
Pengine sio tatizo la CRDB hasa kwa sababu suala la airtime balance ni la operator wako. Operator wako ndiye anayemanage SMS platform.
Hiyo mikataba ipoje? Kama mteja ananunua airtime, ni operator ndiye anayefaidika zaidi kuliko bank, kwa hiyo kimantiki nilitegemea operator asiweke kikwazo chochote mtu anapotaka kununua airtime. Kimsingi, the process should be smooth kama vile unavyoweza kununua voucher.Hapana ni suala la kimkataba zaidi kati ya crdb na mitandao
ok. kiujumla mobile banking ya CRDB iko complicated kulinganisha na nyingine, sijui ndio usalama zaidi au vipi, lakini kwa wateja ni tatizo.Natumia vodacom na crdb
Natumia vodacom na crdb
sasa hapo unakuwa umechangia nini au basi tu uwe umeandika post? mda mwingne tuwe serious kidogo tu mzaa wakati mtu anatoa claim yake apate ufumbuzi sio poa mda mwingine. Nenda jukwaa la jokes fanya vitu kama hivyo. hapo ni swali kweli umeuliza ila m halija ni pendeza koz mleta thread hakuwa na mana siku hizi barabarani hmna wauza vocha ila tatizo ni CRDB huwezi nunua vocha ukiwa huna salio kwenye simu.hapo kwenye Jam hakuna wauza voucher?
Wanajamvi ni hivi, akaunti ya crdb iba fedha za kutosha ila kwenye simu yangu nimeishiwa airtime na niko kwenye traffic jam. Naingia kwenye menu ya crdb mobile ili ninunue airtime najibiwa "huna salio (airtime) ya kutosha kununua "airtime"! Sasa upuuzi wao ni huu, unatakiwa kuwa na balance (airtime) ili uweze kununua airtime. Tafadhali crdb nawaheshimu sana rekebisheni kasoro hii muwe kama Nmb ambao hata kama simu haina salio bado unaweza kununua airtime. Makato ni kwenye balance ya bank
Fahamu kuwa, vodacom wana charge kila transaction kabla ya hata msg kuwa detected crdb. hivyo ni lazima voda wakate pesa yao kabla ya kuruhusu ku access menu ya simbanking. tigo ni bure, kwa hilo walaumu voda, siyo crdb.Wanajamvi ni hivi, akaunti ya crdb iba fedha za kutosha ila kwenye simu yangu nimeishiwa airtime na niko kwenye traffic jam. Naingia kwenye menu ya crdb mobile ili ninunue airtime najibiwa "huna salio (airtime) ya kutosha kununua "airtime"! Sasa upuuzi wao ni huu, unatakiwa kuwa na balance (airtime) ili uweze kununua airtime. Tafadhali crdb nawaheshimu sana rekebisheni kasoro hii muwe kama Nmb ambao hata kama simu haina salio bado unaweza kununua airtime. Makato ni kwenye balance
Ndio yale ya tra kulipisha watu kodi ya mapato wakati wanaanza biashara. Utalipaje kodi ya mapato kabla hujapata? Bora ingeitwa kodi ya mtaji.