M MPadmire JF-Expert Member Joined Mar 7, 2006 Posts 3,957 Reaction score 3,245 Jun 15, 2009 #1 Nimepata habari kuwa Benki za CRDB,TIB na PTA zimeikopesha Hotel ya Mt Meru ya Arusha dola million 24 za marekani kwa ajili ya ukarabati. Sasa je, ni nani anamiliki hii hoteli kwa sasa??
Nimepata habari kuwa Benki za CRDB,TIB na PTA zimeikopesha Hotel ya Mt Meru ya Arusha dola million 24 za marekani kwa ajili ya ukarabati. Sasa je, ni nani anamiliki hii hoteli kwa sasa??
Lambardi Platinum Member Joined Feb 7, 2008 Posts 18,813 Reaction score 21,830 Jun 15, 2009 #2 Jamani si walisema Fredrick Sumaye???au kuna mabadiliko??
Lambardi Platinum Member Joined Feb 7, 2008 Posts 18,813 Reaction score 21,830 Jun 15, 2009 #3 Jamani si walisema Fredrick Sumaye???au kuna mabadiliko??
Nyambala JF-Expert Member Joined Oct 10, 2007 Posts 4,465 Reaction score 1,171 Jun 15, 2009 #4 Skills4Ever said: Jamani si walisema Fredrick Sumaye???au kuna mabadiliko?? Click to expand... Kuna kipindi hata serikali iliwahi kutamka wazi kwamba haimfahamu mmiliki
Skills4Ever said: Jamani si walisema Fredrick Sumaye???au kuna mabadiliko?? Click to expand... Kuna kipindi hata serikali iliwahi kutamka wazi kwamba haimfahamu mmiliki