CRDB tupia macho wizi huu

Rweye

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Posts
17,057
Reaction score
7,611
Bank yenu ya gari mobile 10 inayofanya kazi mkoa wa Tabora wilaya ya Sikonge na Ulambo tunaibiwa pesa zetu kila leo na hatuzipati na hamna maelezo
Jana jamaa yangu kadroo laki2 ila hazikutoka kaambiwa asubiri mpaka siku 41 ..hiki kitu gani hiki?Tunaomba hamisheni watu hawa haraka sana.
 
wewe umeenda na kadi ya Bank ipi? kama hiyo kadi ya bank nyingine ( yaani siyo CRDB Bank) sheria inasema usubiri siku 45 na utaenda bank yake huko kutoa maelezo yako na kujaza form ya madai
 
wewe umeenda na kadi ya Bank ipi? kama hiyo kadi ya bank nyingine ( yaani siyo CRDB Bank) sheria inasema usubiri siku 45 na utaenda bank yake huko kutoa maelezo yako na kujaza form ya madai

Haya ndio mambo yaliyofanya nihame CRDB hela yangu makosa ni ya mashine zenu halafu unipige adhabu ya siku 45 manake ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…