Pole mkuuYaani kuna Madirisha 6 lakini kuna teller mmoja tu naye anafanya kazi polepole kama kaajiriwa jana. Wafanyakazi wengine wapo tu wanalanda landa tu kila kona
Cha kushangaza ni kwamba mtu akifika kuvaa kaunda suti anapeleka slip kwa customer care then customer care anaichukua na kuipeleka kwa teller ili ahudumiwe haraka. Wengine mnaendelea kusota kwenye foleni.
Haka kabenki nadhani kanataka kujifia.
Time will tell
ukienda kuomba mkopo wa biashara wanakungalia jina,kama hutoki KLM wanakufyeka hata kama una vigezo au wanakupiga danadana mpaka upoteze malengoBado ina wateja hiyo SACCOS ya wachagga?