saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 4,683
- 7,222
Nchi hii sijui inakoelekea kila sehemu huduma ni mbovu. Niko CRDB tawi la USA-RIVER, Arusha tangia saa 3 asb, wateja ni wengi yuko mhudumu moja tu wakati madirisha yako zaidi ya 5. Wahudumu wengine wapo wanazururazurura ndani sijui wanafanya nini.
Hizi kwanza ni dharau kwa wateja, kwanini mhudumu moja tu? Hamjali ratiba zetu siyo, shida ni meneja wa tawi au ndio utaratibu wa hii benki nchi nzima? Bado karne hii unaona kuna wateja wapita bila kuitwa namba za kadi.
Hili tawi la hovyo sana, mtu unataka ufanye malipo uondoke. Kwanini wahudumu wasikae kwenye madirisha ya huduma tuhudumiwe na tuendelee na shughuli zetu? Hii nchi ukimbilie wapi upate huduma nzuri kwa wakati.