CRDB WAKALA Wanakataa kutoa huduma ya Direct transfer kwa wateja wa Bank ya CRDB

Mwanga Mkali

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2018
Posts
1,315
Reaction score
2,533
Taarifa kwa uongozi wa CRDB Bank kulifanyia kazi swala hili maana ni kero kubwa sana kwa wateja wenu. Binafsi nimepata usumbufu huu mara nyingi, kukataliwa kufanya direct transfer kwa mawakala wenu kwa kisingizio kwamba hawapati commission yoyote kwa huduma hiyo, fanyeni Uchunguzi mtabaini, kwa upande wangu majina ya mawakala na mikoa ninayo. Kuna baadhi niwaelewa na waaminifu sana lakini wengi ni wasumbufu na inakera.
Naomba kuwasilisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…