kbm
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 5,224
- 1,677
Wanahisa wa Benki ya CRDB wametoana jasho kuhusu kuwawajibisha wakurugenzi wa bodi hiyo ambao wameidhinisha mikopo kwa watu ambao wameshindwa kurejesha kwa wakati, hivyo kusababisha kushuka kwa gawiwo kutoka Sh. 10 ya mwaka jana hadi Sh. 5 mwaka huu.
Source: NIPASHE
Source: NIPASHE