CRDB: Wanahisa wa Benki ya CRDB waja juu kushuka kwa gawio

kbm

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
5,224
Reaction score
1,677
Wanahisa wa Benki ya CRDB wametoana jasho kuhusu kuwawajibisha wakurugenzi wa bodi hiyo ambao wameidhinisha mikopo kwa watu ambao wameshindwa kurejesha kwa wakati, hivyo kusababisha kushuka kwa gawiwo kutoka Sh. 10 ya mwaka jana hadi Sh. 5 mwaka huu.

Source: NIPASHE
 

Attachments

  • IMG_20180521_145926.jpg
    227 KB · Views: 47
heeeee si walisema kasi ya Kimei wameielewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…