Huyu ana issue ingine, siyo hiyoHizo nauli ulizotumia kuzunguka mji mzima ungejiongeza mapema ukatumia huduma za MasterCard au CRDB wakala usingelalamika hapa
Hapo ndipo utaona umuhimu wa Simbanking
tatizo umekariri maisha
CRDB wana mawakala wa mtaaminkila sehemu,sim banking pia wanayo,basi tu unapenda shida
Hizo nauli ulizotumia kuzunguka mji mzima ungejiongeza mapema ukatumia huduma za MasterCard au CRDB wakala usingelalamika hapa.
Au kuna masikini sana mpaka Benki zinaona uvivu kuweka Pesa kwenye ATM..Kwahiyo unataka kuniaminisha kuwa Morogoro kuna matajiri sana wanamaliza hela kwenye ATM au!??
Kichwa BoX
Hahaaa yote majibu sahihi.!!!Au kuna masikini sana mpaka Benki zinaona uvivu kuweka Pesa kwenye ATM..