Ujanja Ujanja tu hamna lolote nyie CRDBCRDB wamepandisha riba ya junior jumbo; akaunti ya mtoto ni asilimia 4%.
Nafikiri hii ndo benki nzuri ya kumfungulia mwanao junior jumbo, nasikia iyo akaunti haina chaji kabisa withdrawal or monthly maintanance fees kama hizi saving a/c;
Ahsanteni CRDB ntakuja kumfungulia dogo langu.
Yani niweke pesa yangu miaka yote hiyo unile 4% kwa mwaka..!!
mbona nikija kukopa unanicharge 24%? Humpati mtu hapaa