CRDB yaamuriwa kumlipa Zawadi Bahenge milioni 300 kwa kutumia picha yake kwenye matangazo bila ridhaa

Zawadi akipata hiyo pesa amnunulie wakili wake fil
Zawadi akipata hiyo pesa amnunulie wakili wake file jipya Kwanza. Super!!!
 

Amelipwa kama zawadi au anaitwa zawadi?🤔
 
"Kukaza hukumu" siyo "kukazia hukumu"
 
Bila kuweka ushahidi wa kutosha, hii itakuwa ni porojo tu!
Believe me.
Haiwezekani mamlaka ya juu ya benki ipo, mabango yakasambaa nchi nzima bila mamlaka za juu za benki kuyaona na kujiuliza yametoka wapi, nani kayalipia, kayaidhinisha.... Kuna mwanasheria wa CRDB, kitu kama hiki lazima kipitie kwake.......MWANASHERIA....... hajui kuwa kutumia sura/jina la mtu katika biashara ni kosa... Kuna internal arrangements zilihusika kufanya haya na kumwambia binti kadai fidia mahakamani.........
Yaani benki wanakaa na kuona picha ya binti na kuamua kuiweka kwenye matangazo, basi likapita..... common ens e and intuition does not support that!
 
Hizo deal waliingia na wajanja wa benk
Lazima kuna mtu wa benk yupo nyuma ya mchezo ili waipige benk
 
Ukisikia kazi ya uwakili inalipa ndio kama ivyo,hapo wakili yakwake si chini ya mia anaisweka mfukoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…