Benk kubwa hapa nchini CRDB imetangaza kutoa gawio la sh 9 kwa hisa baada kupigwa mahesabu na kuonyesha kupungua kwa faida mwaka uliopita wamepata bil.19.6 tu kutoa kodi.
My take
Hii ni dalili za kuporomoka kwa benk kama watu walidai huko nyuma kuwa mahesabu ya benk yanapikwa