Anfibix
Senior Member
- Dec 1, 2018
- 190
- 308
Wakuu habari, ni takribani nusu mwaka nimehamia Mbeya na kama mnavyojua hali ya hewa huku ni upepo na baridi. Ngozi yangu imekua kavu na imefubaa.
Kwa anaejua cream au lotion au mafuta mazuri yasiyochubua kwa mtu ambae ni maji ya kunde, tafadhali naomba msaada. Thanks.
Kwa anaejua cream au lotion au mafuta mazuri yasiyochubua kwa mtu ambae ni maji ya kunde, tafadhali naomba msaada. Thanks.