ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Sijawahi kutumia hizo makitu sasa nashawishika nijaribu so Ningependa kujua kama hizo cream za kuondoa nywele za makwapani, ndevu ama sehemu za siri sina side effects yoyote?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumia tu mkuu hazina madhara binafsi kuna jamaa flan hiv wanaagizaga nadhan marekani au Dubai huwa nanunua kwao kwa ajili ya kuondolea nywele mfano za kwapa ni nzuri kwakweli muhimu upate OG sio matakataka yale ya kariakooSijawahi kutumia hizo makitu sasa nashawishika nijaribu so Ningependa kujua kama hizo cream za kuondoa nywele za makwapani,ndevu ama sehemu za siri sina side effects yoyote?
Zinauzwa kiasi gani?Tumia tu mkuu hazina madhara binafsi kuna jamaa flan hiv wanaagizaga nadhan marekani au Dubai huwa nanunua kwao kwa ajili ya kuondolea nywele mfano za kwapa ni nzuri kwakweli muhimu upate OG sio matakataka yale ya kariakoo
Hivo eehsema hizo wanapenda kutumia mademu kaka
yaah manHivo eeh