Hivi smell na scent zinatumika interchangeably?
Anyway, perfumes ama uturi ina sehemu yake. Kinachochanganya ni harufu tamu ya pumzi ya mtu. Sijui niite smell of the breath? Ajabu ni kuwa ukiacha kumpenda mtu huisikii tena hii harufu. Ni tamu, sexy, stimulating and all that. Sijui kama kuna mtu aliwahi ku-eksipiriensi hii.