heb tufanye hivi izo page zako zote tufanye 5 utakuwa umezisave zote kwenye directory(folder) moja. Yaani page zako zote zinatakiwa ziwe kwenye folder moja. Then kuzilink hizo page just tumia hiyo syntax ya <a href = "jina la page unayotaka kuilink"> jina la link <a/>. Unaweza kuogneza idadi ya link.For fun ,najaribu kutengeneza website kutumia html.
Nataka iwe na page say 5!
Code muhimu za html nimesoma online na baadhi za CSS.
Licha ya kusoma about a href code,sijajua vipi his webpages nitazilink kufanya website.
Je "a href" itakuwa sehemu gani ya page ya kwanza ili kulink page ya pili na kadhalika?