Creative Directors mmeona tangazo la Yas na Mixx by Yas?

Creative Directors mmeona tangazo la Yas na Mixx by Yas?

Brojust

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
349
Reaction score
1,024
Habari za mchana huu.

Dah nimelifuatilia tangazo la YAS na MIXX BY YAS. Yaani chini ya sekunde sitini mtu anakupa content ya maana na kueleweka.

Maana mpaka sasa kwa matangazo ya kwetu hasa mitandao ya simu wanatumia wasanii ambapo wakati mwingine mimi naona huwa wanaharibu.

Sasa link yake nimeshindwa kuipata. Ila kuna kitu kikubwa sana cha kujifunza.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom